Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Januari 23, 2022

AINA ZA CHALE

SOMO: AINA YA MIHURI NA DALILI ZAKE 1)) CHALE ZA KUFANYWA MSUKULE ukiwekea alama hizi, huwa utashangaa unaumwa sana na maumivu yasiyo eleweka,na ndoto zako ni kuota ukifanya kazi ngumu na kuamka umechoka sana na homa isiyo tulia,kama ukienda kwa waganga utaambiwa kuwa una mambo ya kimila ufanyiwe 2 )) CHALE ZA KUKARIBISHWA UCHAWINI jua kwamba wachawi huwa kuna watu huwatamani wajiunge na uchawi,na hivyo huwaalika uchawini, na kuwafanya watu hao wawe na ndoto za kuota wakiwa katika mikusanyiko ya watu na kupika vyakula,na ikitokea umeonekana hutaki uchawi utapewa maradhi ya matumbo na mwili kuwaka moto pamoja na kukosa usingizi,maradhi ya pressure na homa zisizo kwisha 3 CHALE ZA MWILI WA KUFUNDISHIA kuna mtu ambaye mwili wake ni kama uwanja wa mazoezi kwa kufundishia uchawi wanafunzi wao,huyu huwa na ndoto za kula kula usiku,pia huwa magonjwa ya ajabu sana, na hospital hawaoni ugonjwa japo mtu anaumwa sana 4)) CHALE ILI KIVULI CHAKE KITUMIKE kuna mtu ambaye kivuli chake kinatu...