MAOMBI YA KUG,OA ROHO ZA KULA MKAA PEMBA nk
MAOMBI YA KUG,OA ROHO ZA KULA MKAA PEMBA UDONGO UNGA NK. Kuna watu humu wanatabia ya kula mkaa Unga udongo nk hii huwa ni Pepo la nyoka linajifanya kukupa hisia za kutamani ule udongo tu au mkaa au Pemba nk. Unatakiwa uombe nami Sasa uvunje hiyo roho kama huipendi lakini kama mwenyewe unaipenda unataka uendelee basi hata ukiomba haitasaindia chukia hiyo hali kisha tuombe wote. Neno linasema hivi Pepo la nyoka huwa linajifanya Lierevu humshawishi mwanamke kula vitu vilivyokatazwa na Mungu. Mwanzo 3:1 [1]Basi nyoka alikuwa mwerevu kuliko wanyama wote wa mwitu aliowafanya BWANA Mungu. Akamwambia mwanamke, Ati! Hivi ndivyo alivyosema Mungu, Msile matunda ya miti yote ya bustani? OMBA HIVI MARA TATU KWA SIKU 2 Tu 1.Nakata kiu ya kula udongo ndani yangu katika Jina la Yesu kila Pepo aliyekuwa Ananiamuru kula udongo, mkaa ,pemba,Unga ninakataa kuanzia sasa sitatumikishwa katika Jina la Yesu.Amen Rudia ×4 2.Hela yangu au miguu yangu au mikono yangu haitafata pepo a...