SOMO: HAYA YAEPUKE USIFANYE KWENYE MAHUSIANO
SOMO:HAYA YAEPUKE USIYAFANYE KWENYE NDOA/MAHUSIANO Mwalimu Wa Wanandoa Pastor Richard @2021 April👉🏿 Mithali 12:1-2 Mahusiano au Mnapoamua Kuishi wote nyumba moja Basi Huwa unatakiwa Mambo haya niyakuepuka Usifanye ukiwa kwenye mahusiano haijalishi uwe Mwanaume au Mwanamke 1:Kuanza kuchelewa kutoka kazini mara kwa mara. Sio kwamba kila mtu anapochelewa kutoka kazini basi anakuwa sio mwaminifu, lakini zaidi ya asilimia 75 (kutoka kwenye tafiti) ya ambao wamekuwa na mahusiano nje wamekuwa wakitoa visingizio vinavyohusiana na kazi, vikao, mikutano na safari za kikazi, yamkini wewe ni shahidi wa hili. 2. Mazingira tatanishi ya simu Gafla simu zinaanza kumiminika mpaka mida ya usiku. Yamkini pia alikuwa yuko huru hata simu yake inapolia waweza ichukua na kumpatia lakini gafla anakuwa na hofu kubwa na kuificha simu yake, nimeongea na wengine ambao wanakwenda na simu hadi bafuni isije ikasikika. Wengine wanaondoa milio katika simu zao wakati haikuwa ka...