Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi 31, 2022

SOMO; NGUVU YA MAOMBI YA KUFUNGA UKIWA NA SADAKA (Kujitoa)

SOMO; NGUVU YA MAOMBI YA KUFUNGA  UKIWA NA SADAKA (Kujitoa) MAOMBI NI Nini ? Maombi ni Pumzi ya mtu aliyeokoka Yeyote aliyeokoka pumzi yake ni Maombi Asipoomba lazima Afe Kiroho. SADAKA YA MAOMBI YA KUFUNGA NI NINI? Ni kujitoa kwa ulichojaliwa kwa Mungu Nakumpa Mungu Kama Alama ya kiugo cha maombi yako kuyakamilisha yawe kitu kimoja. SADAKA  YA MAOMBI  ni kiugo kikubwa kama unapouga mboga ili mtu ale chakula chako utaweka chumvi. USIPOWEKA chumvi chakula chako hakiliki. Ni mhimu kwa anayejua thamani ya kiungo na sio mhimu kwa asiyejua umhimu wa sadaka ya maombi ya kufunga huendana na Sadaka Yake. Yoeli 2:12 [12]Lakini hata sasa, asema BWANA, nirudieni mimi kwa mioyo yenu yote, na kwa kufunga, na kwa kulia, na kwa kuombolea;  Therefore also now, saith the LORD, turn ye even to me with all your heart, and with fasting, and with weeping, and with mourning: MAMBO MATATU USIYOYAJUA KUPITIA  SADAKA YA KUFUNGA NA KUOMBA  1:UTAIMARISHA MWILI WAKO USITENDE DHAMBI...