Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi 15, 2016

SOMO: JINSI MCHAWI ANAWEZA KUKUTEKA UFAHAMU NA AFYA YAKO AU NYUMBA YAKO. ISAYA.8:19 WAGALATIA.5:9-21 TORATI.18:9-14

UTANGULIZI: UCHAWI NI NINI? ni miujiza ya kimwili inayotumia mapepo na kuongozwa na mkuu wa anga. KUNA AINA MBILI ZA UCHAWI. -UCHAWI WA KUPEWA NA MAJINI. -UCHAWI WA KURITHISHWA NA MTU. UCHAWI WA KUPEWA NA MAJINI  huu uchawi ndio unaotoa jini la uchawi kwenye anga na mkuu wa anga ndio  hutoa UCHAWI WA KURITHI. huu uchawi hufata ukoo na mtu anaekuwa mchawi hufata utaratibu unao wekwa na mkuu wao wakilinge. NJISI MCHAWI ANAVYOWEZA KUKURONGA. kwanza huangalia katika anga lao wakikuona mtu wa kwenda kwa waganga  wakienyeji kukupata huwa vilahisi kutokana mganga hutumia majini na mkuu wa anga kukutibu na wachawi nao hutumia majini na mkuu wa anga kukudhuru. lakini pia ukiwa unasali lakini ni dhaifu nakuomba kwako hutumii jina la yesu katika maombi yako jua watakuweza tu. lakini kwa yule alieokoka akiwa anaomba huwapa wakati mgumu  na huwatala maana hawaliwezi jina la YESU. UCHAWI UNAVYOFANYA KAZI MAKANISA MENGI YA SIKU  NA NJISI UTAKAVYO...