Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Desemba 19, 2020

SOMO: AGANO LA UZAZI

SOMO;AGANO LA UZAZI 👉🏿👉🏿Mtoto wa MUNGU nakuarika Popote ulipo Kipindi Ni Mafundisho Ya Neno la MUNGU Karibu Ukale chakula Cha Kiroho ushibe Nafsi Yako mwalike na Jirani Yako Kisha Kaa Katika Utulivu usome Kwa making utakiponya Kizazi Chako na Watoto wako. Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa Tufunue Biblia Zetu 👉🏿:Waebrania:7:6👉🏿Kutoka:1;7👉🏿Mwanzo:25:32 1Timotheo:2:15 AGANO LA UZAZI NI NINI..?Ni Patano linalofanyika Kati ya Kizazi Cha Mtu na MUNGU au SHETANI 👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿 KAMA AGANO LAKO LITAMHUSU SHETANI;-Utazaa watoto walioshidikana Wezi Walevi Wachawi Waganga Kwakua Unaagano na Kuzimu Sio MUNGU. 👉🏿&#128...