Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Mei 18, 2020

SOMO;wewe MSHINDI

😴😴😴TUSOME HAPA MPAKA MWISHO_ELIMU HAINDAGANYI NA BIBLIA Yer:1;19 Haidaganyi😴😴 🔥🔥SOMO;WEWE NI MSHINDI TOKA TUMBONI.🔥🔥 Tufunue Biblia Yeremia;1;19,18:19 Ufunuo;12;8A,Zaburi:13; Naitwa Pastor Richard NIPO Morogoro veta Dakawa Simu+255759861768 Turudi Darasani Kindogo Unajua Unapoambiwa wewe MSHINDI unazani unatiwa moyo na Mungu anapokuambia nilikujua toka nikiwa tumboni uelewi. Karibu Mwanzo wa Wewe Ulivyoanza Kushinda. Biology Inatuambia Mwanaume Anapofanya tendo la ndoa hutoa mbengu takiribani milioni Mia tatu(300,000,000) mbengu Hizi huwa zinaongelea kukimbia kufika kwenye ovary(yai) lakini katika milioni Mia tatu wote Wanaofanikiwa kulifikia yai Ni mia Tano (500) Kutoka kwenye kukutana na yai la kike na la Kiume huendelea mbengu kuongelea mpaka kwenye mfuko wa Uzazi ambao hufika mbengu Moja TU(1)AMBAYE Ndio Wewe Hapo Unayesoma Ujumbe huu. JIULIZE KAMA KIPINDI HUNA MACH...

SOMO: NGUVU YA UMOJA

🎙️🎙️DARASA LA NENO🎙️🎙️ 🔥🔥SOMO: NGUVU YA UMOJA Tufunue Yohana:17:21-24 Zaburi:133:1 Waefeso;4;3 MWALIMU: Pastor Richard NIPO Morogoro veta Dakawa Simu+255759861768 Mambo mengi hayaendi vizuri na yanaishia njiani Iwe ndani ya ndoa Zetu familia Zetu mahusiano yetu katika Huduma Zetu makanisa yetu Kwa sababu yamekosa nguvu ya umoja Lakini yatakaponjegwa kwa umoja Kama kristo Yohana;10;30 Karibu Leo Nataka nifundishe Nguvu ya umoja. Naitwa Pastor Richard NIPO Morogoro veta Dakawa 🔥🔥 NGUVU YA UMOJA NI NINi?? Ni Ushirikiano na SAUTI moja Kama watoto wa Mungu. Lengo la SoMo;Tujenge kanisa na jamii Yenye umoja. Dhima ya Moto wa Yesu;Watu wafundishwe Neno la Mungu wakombolewe Faida Ya Umoja 1;Kujengana katika Misingi Yenye mafanikio. 2:Kusaidiana na Kubebana kwenye matatizo na matukio mbalimbali 3:Kuwa na SAUTI moja inayopaza kunena utetezi kwa mwingine. 4:Kufika juu kimaendeleo na ki...