SOMO;UAMINIFU WA FUNGU LA KUMI
MAMBO HAYA HUCHANGIA KUBARIKIWA KIUCHUMI NA KIAFYA 🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍇 UAMINIFU WA FUNGU LA KUMI KATIKA UTOAJI WAKO KILA MWEZI NA CHOCHOTE UFANYACHO KUHAKIKISHA UNAKITOLEA FUNGU LA KUMI 🍓🍓🍓🍓🍓🍓🍓🍓🍓🍓🍓 Tufunue Malaki;3;10 Kumbu;Torati:28;1-13 Kuna watu Fungu la Kumi hulitoa kimakosa harafu wanatengemea wajibiwe Maombi Yao au wabarikiwe Ni Marufuku Fungu lako la Kumi Kama Mkristo Ukalitoa Kwa Yatima,wajane,wagonjwa,wahitaji, Ukasema Nawe unatoa Fungu la Kumi hapana Fungu la Kumi hutolewa Kanisani Katika Madhabahu yako Iliyobeba Baraka zako Kama Huna Unatakiwa uwe na mchungaji wako umuulize katika utarat...