SOMO; KUKATA TAMAA
SOMO: KUKATA TAMAA INACHELEWESHA MAJIBU ULIOMBA Tufunue:Ayubu;13;19 Isaya:15:5 Muhubiri:2:20 Naitwa Bishop Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa Simu+255759861768 kuongea nae Jioni saa 12 00 Kukata Tamaa huwa Ni Asili Ya Shetani Moja ya Silaha anazozitumia Kumnasa mtu aliyekosa Ujasiri wa Kiimani. Shetani huadaa mazingira ya Upizani mbele yako ili Ifikie hatua Useme MUNGU AMENIACHA MIMI HIVI. kumbe kiukweli Hali hii Mapepo Majini wachawi na waganga humpiga mtu kiroho kwa Siraha Kuu Tatu 1;Hasira 2;Hofu 3:Kukata Tamaa UKIWEZA TU KUMPIGA shetani KWA SIRAHA HIZI 1:Hasira wewe Panda Upendo tu. 2:Hofu wewe Tumia Siraha ya Imani moyo JASIRI 3:Kukata Tamaa wewe Panda mataranjio au Matumaini utapata. UTAKUWA MSHINDI UKISIMAMA HIVYO TU TOFAUTI NA WEWE KUTENGUA SIRAHA ZA SHETANI ATAKUTESA NAKUIMBA HAKI YAKO. KUKATA TAMAA Ni Kukosa Ujasiri wa Kuendelea.. Muhubiri : Mlango 2; 20 Kwa hiyo nikageuka kukata tamaa moyoni mwangu juu ya kazi yangu yote niliyojishughulisha nayo chini ya jua....