Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi 19, 2020

SOMO;KIPI BORA MUNGU AKUSAMEHE DHAMBI AU AKUPONYE MAGONJWA NA KUKUFUNGUA

🤣🔥🔥🔥SOMO✍🏾KIPI BORA MUNGU AKUSAMEHE DHAMBI AU AKUPONYE MAGONJWA NA KUKUFUNGUA????✍🏾✍🏾🤣 Tufunue Biblia Zetu hapo Tulipo Kama Simu au unabiblia kabisa Leo Tunatakiwa Tukumbushane Hili Kipi Bora Mtu asamehewe dhambi au Atatuliwe matatizo Yake na Kuponywa Vitabu; Mathayo;9;1_17 Marko:2;2-10 Luka:1;77 Luka:12:10 Warumi:4;7 Isaya:33:24                   🔥🔥🔥 UTANGULIZI✍🏾✍🏾✍🏾 Karibu Katika SOMO Hili Naekuwasilishia SoMo Hili Naitwa Bishop Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa Ni vyema Upate kujihoji mwenyewe wewe umesamehewa dhambi au Ulifunguliwa TU ukaponywa na magonjwa yako lakini dhambi hujasamehewa mpaka Leo. Lazima ujihoji Unaenda kwa Mungu ukiwa na Hoja ipi Usamehewe dhambi zako toka ujana mpaka hapo au Mungu akuponye magonjwa Yako na uondoke zako. Umekuwa...