SOMO:SIMU ISIYOOKOKA
SOMO: MADHARA YA SIMU AMBAYO HAIJAOKOKA. UTANGULIZI. Simu ya mkristo aliye hai kiroho hutakiwa nayo imjue Mungu na Ihifadhiwe mambo yanayoendana na Tamanduni ya Misingi ya Kikristo ni vyema kutokuruhusu Simu iwe chanzo cha wewe kumkosea Mungu au Kuharibu maisha yako ya wokovu uliyoyapata kwa gharama nyigi. Napenda Nikukaribishe Katika Somo hili Kama wewe ndiyo mara kwanza kuanza kunifatilia Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa WhatsApp Pastor Richard +255759861768 Rejea Vitabu. Mambo ya Walawi.25:14,17 Hawaii.1:5 Zakaria;1:4 SIMU ISIYOOKOKA INASIFA HIZI. 1:Imebemba majina ya uogo mengi kwenye file la majina yameseviwa kwa majina ya uogo. 2.Imebeba Picha mbaya za aibu za uchi zisizoendana na maadili ya ukristo kabisa. 3;Imebemba Video chafu za ngono Kama wewe Mkristo unatazama video kama hizo utawezaje kuushinda uzinifu ni ngumu. 4:Inatumiana Sms Za Wapenzi wengi na chati zake za mahusiano hayupo mmoja na majina yao yanakuwa yameandikw...