Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Desemba 4, 2017

SOMO: FUNGU LA KUMI NA NJISI YAKULITOA Na MAHALI PAKULITOLEA

✍🏾✍🏾KWA HABARI YA FUNGU LA KUMI.✍🏾✍🏾 . mithali.3;9 ✍🏾✍🏾SEHEMU SAHIHI YA UTAKAPO TOA FUNGU LA KUMI LAKO UKABARIKIWA✍🏾👇🏾👇🏾👇🏾 miongozo ya Biblia Tunaipata Hapa Tukisoma mistari hii👇🏾👇🏾 Kumb. toarati Deuteronomy 14:23-25 [23]And thou shalt eat before the LORD thy God, in the place which he shall choose to place his name there, the tithe of thy corn, of thy wine, and of thine oil, and the firstlings of thy herds and of thy flocks; that thou mayest learn to fear the LORD thy God always. Nawe utakula mbele za BWANA, Mungu wako, mahali atakapochagua apakalishe jina lake, zaka ya nafaka zako, na divai yako, na mafuta yako, na wazaliwa wa kwanza wa makundi yako ya ng’ombe na ya kondoo; ili upate kujifunza kumcha BWANA, Mungu wako, daima. [24]And if the way be too long for thee, so that t...

SOMO: FUNGU LA KUMI NA NJISI YAKULITOA Na MAHALI PAKULITOLEA

Picha

SOMO; YAJUE MAHUSIANO YA SHETANI NJISI YANAVYOKUAGA

✍🏾🌳🌳Yajue ndoa/Mahusiano ya shetani Au MTU aliyepewa mke/Mme na shetani Huwa ndoa mahusiano yanakuwa Hivi Soma ujue✍🏾🌳🌳 Muongozo WA Biblia Tunasoma⛪⛪Mwanzo:3;1-9 Katika watoto wengi WA MUNGU wamepokea wachumba  ndoa zilizopangwa na shetani pasipo kuelewa nao wamenaswa katika mitengo hiyo Na shetani saivi Amejinafasi katika maisha yao Baadala Ya MUNGU wetu kushika ndoa zao zimeingiliwa na shetani kwakuwa tu walichangua imladi tu waoane Haya ndio yanakujulisha ndoa uliyonayo si MUNGU Mwanzo;2!24 1⃣-Huwa ni watu wasiovumiliana madhaifu yao hawa watu. 2⃣-Huwa ni watu wasioshirikishana  kila mmoja anafanya Yake na mipango Yake. Hawa watu huwa wanasifa hii. 3⃣-Ndani hutawala chuki ugomvi mabishano ndoa hii Haina Amani. 4⃣-Wakipishana kauli tu huwa ni ugomvi hawajui kusameheana au kuombana msamaha 5⃣-Huwa ni watu wanaopishana Imani wanaopishana MUNGU wanaemwabudu mwingine An...

SOMO; DINI

✍🏾✍🏾 *SOMO; DINI* ! Matendo:25;19. ✍🏾 2Wafalme.10;20 AYUBU.4;7✍🏾1Timothy.2;16 Dini nini? Dini ni mapokeo kutoka kwa watu Tofauti Tofauti ndani na nje Wenye nia nzuri na nia mbaya  ya kukupeleks mbiguni au kukupotosha yote huwa yanawezekana kutokea usipokuwa na Roho Mtakatifu pia Wenye Maono mema na wasio na Maono ✍🏾✍🏾 *DINI IMEGAWANYIKA MAKUNDI 2* ☝🏽☝🏽 1-Dini ya kweli 2-Dini Ya Uongo *Dini ya kweli* Huwa ni mapokeo yaliyotoka ndani ya Mtu akisikia wito au kutokewa na sauti Ya MUNGU au Yesu au Malaika nakumuangiza Aende kuchunga watu NA kuwakusanya anapewa jina LA Huduma anayopaswa aiongoze. Dini hii hujengwa katika Imani Isiyorusu Maovu katika Katiba yake Ukiisoma Ina UTARATIBU Wenye ujazo Wa ROHO MTAKATIFU sio kifikira na mawazo ya mwili Hupinga NA kukemea Maovu na Yasimtukuza MUNGU Huwajenga watu katika njia yenye kuwaimarisha kiimani Kama kuwafundisha -...