SOMO: MAMBO MATANO KATIKA UTOAJI
SOMO: MAMBO MATATU YAKUZIGATIA KATIKA UTOAJI WA SADAKA MATENDO:10. Warumi;12;1 Mwal.Pastor Richard Yupo Morogoro veta Dakawa 1;HATUA YA KWAZA Kuelewa Neno utoaji nakutofautisha Neno utoaji na Sadaka. 1;UTOAJI:👉🏿Ni kuacha Pengo kwenye Mali zako au Pesa halafu lile pengo usitengemee alizimbe Yule uliye mpa au akurudishie kitu. Mfano unaelfu 10000 Faustini Ukampa 1000 Utabaki na elifu 9000 Sasa usitake Faustini akurudishie au uaze kumsema ulimsaidia. Mfano umetoa gari kwa ajili ya Pastor Richard Ukawa unamuona anaendesha hupaswi useme lile gari SI nilimpa Mimi. UTOAJI nikitendo Kikubwa Kuliko Sadaka Maana Huwa Levo Kubwa Ya Kiroho. SADAKA 👆👉🏿Ni Kutoa Pesa Kanisani au Kwa Wasiojiweza au Kujitoa mwili wako kumtumikia Mungu. Mfano: UMEENDA Kanisani Unapaswa uende na Sadaka Yaani Pesa uliojaliwa umtolee Mungu Ili kuchochea maendeleo ya Kanisa lako Unaposema hutoi Sadaka Kanisani Unaua Kazi Ya Mungu nakuididimiza. Mfano kuituza Familia ya mchungaji nakuilisha hiyo Ni ...