SOMO; MAOMBI YA KUOMBEA CONECTION
SOMO: MAOMBI YA KUOMBEA CONNECTION TUNASIMAMIA Isaya,43;4 Mwanzo;12;13 Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa WhatsApp Group la Maombi+255759861768 1:Maombi haya Utayaomba muda wako wowote Uliotulia 2;Kama Utashuhudiwa uyatolee Sadaka basi unatuma Sadaka yako unanipigia lakini sijapewa maelekezo ya wewe utoe Sadaka 👇👇👇👇👇👇👏👏👏👏👏👏👏 MAMBO YA KUZINGATIA SOMA HIZI AINA MBILI ZA CONECTION ::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::;::;:::::::::::::: 1;AINA YA CONECTION YA KIROHO Katika Maisha Yako Elewa Watu Huwa ni Sehemu ya Mabadiliko katika maisha yako ni Sehemu ya Mafanikio Kama Hutakutana Na Connection Watu Waliondaliwa Wawe kiunganishi Kufikia Hitaji lako Liwe la Kiroho Tunaitaji Baba wa Kiroho Awe Conection Na Mungu Tunaitaji Tutoe Zaka Iwe connect katika Maombi Yetu Kama Unaomba Huna Hivi vitu Viwili Madhabahu yako haitakupa matokeo Sababu lazima uwe na mlezi wa kiroho utakayemshirikisha kila kitu halafu ataenda ...