Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Agosti 3, 2023

SOMO: MAOMBI YA UKOMBOZI WA FIKIRA

MAOMBI YA UKOMBOZI WA FIKIRA ZAKO. UTANGULIZI; Fikira ndiyo msingi wa maamuzi yote unayoyafanya katika maisha Tunaweza kusema hivyo ulivyo ni kipimo cha uhai wa fikira zako ndiyo zimefika mwisho. Naitwa Pastor Richard  Nipo Morogoro Veta Dakawa  WhatsApp niinbox +255759861768 Kabla hatujaanza kukomboa Fikira lazima Tujue Fikira ni nini..? FIKIRA  👉👈ni mkusanyiko wa mawazo yako unayoyawaza huunda neno fikira na kupitia fikira ndipo palipo na utendaji yaani maamuzi. Mawazo: hayawezi amua jambo kama Fikira hajasaini kupitisha ulichowaza. Wapo watu humu wala hawateswi na wachawi au majini au nguvu ya ngiza Yeyote isipokuwa ugumu wa maisha na mfululizo wa matukio kwao yamewafanya wateseke kwa kurundika mawazo mengi ambayo yametengeneza fikira Potofu kila kitu Yaani kila jambo anafikiria vibaya tu. Kama Umepata neema kusoma hili somo linakuhusu. Wapo watu Wengine Adui au Kinachowazuia Wasifunguliwe Ni Fikira zao zinatumikishwa na watu mfano. 1.Unampenda mtu kiasi kwamba hata ...