SOMO:FIKIRI KABLA YA KULALAMIKA
SOMO:FIKIRI KABLA YA KULALAMIKA MUNGU HAKUJIBU. Kuna maandiko Ambayo yanakupa picha na mwelekeo katika maisha yako ya wokovu ni vyema ukayajua nakuyashika Kabla hujaanza kutupia lawama Mungu hakujibu hakusikii. Wapo wegine wanawaza kufa wegine waache kanisani kisa Mungu hatendi Kumbe matatizo mengine shida ipo kwako unaona yaleyale hutaki kuona ushindi Muulize batrimayo kipofu alibadili mtazamo akaanza kuona ushindi mafanikio kustawi Nawewe fikira zako ziponywe kwa jina la Yesu. Nakukaribisha katika Somo hili ninayekuandalia Pastor Richard kwa msaanda wa Roho Mtakatifu. Nipo Morogoro Kanisa la H.S.C.T 1;JAMBO LA KWANZA MPENDE MUNGU KWA AKILI ZAKO ZOTE NAFSI YAKO ZOTE. 👇👇👇👇👇 Mathayo 22:37 [37]Akamwambia, Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote. Vipimo vya Kumpenda Mungu Kweli. 1.Uvumilivu wako katika nyakati zote anapochelewa kujibu. 2.Kujitoa Kwako kwa Kazi ya Mungu katika Sadaka zako Viwanja magari na...