SOMO: MAJUKUMU YA MWANAMKE KATIKA NDOA
SOMO; MAJUKUMU YA MWANAMKE KWENYE NDOA Bwana Yesu Asifiwe Nawakaribisha Wanandoa Tuelimishana Na Kuponya ndoa Zetu Ni Mimi Mwalimu wa Wanandoa Pastor Richard Nakusongezea Elimu hii itakayoponya ndoa yako Unaweza Kuogezea Point Happ chini Comment nitaiona. Kikweli Katika ndoa kila mtu huwa Anapaswa Ayajue majukumu Yake I'll Kufanya ndoa Zetu Zichanue majukumu ya mwanamke ayaelewe majukumu ya mwanamme aelewe Ndoa Happ itachanua Majukumu ya mke kwenye ndoa ni; 1. Kutunza familia. 1 Timotheo 5:8 '' Lakini mtu ye yote asiyewatunza walio wake, yaani, wale wa nyumbani mwake hasa, ameikana Imani, tena ni mbaya kuliko mtu asiyeamini.'' Kutunza familia sio jukumu la baba tu bali na mama pia anatakiwa ahakikishe anaitunza familia yake. Kama mna watoto hakika unatakiwa mama kuwatunza watoto wako na kuwasaidia kiroho ili wampendeze MUNGU katika Wokovu wa KRISTO YESU. Maana ya Neno kutunza familia ni kuiweka familia chini ya uangalizi wako ili isiharibike au isidhuli...