Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Aprili 30, 2022

SOMO;MAOMBI 46 YA KUMTEKETEZA SHETANI

SOMO;MAOMBI YA KUMTEKETEZA SHETANI: NA NGUVU ZAKA Vitabu vya Kusimamia Tusome 2Wakoritho;10;3-6 Maombolezo;3;33 Yeremia;29;11-14 Omba rudiarudia mara 5 kila ombi Muda tulivu ndio uombe Naitwa Pastor Richard  WhatsApp +255759861768 1. Ninayaharibu na kuyateketeza mamlaka yote aliyopewa shetani na mababu/ mababa, ndugu zangu katika Jina la Yesu. 2. Nina zilaani na kuziteketeza kwa damu ya Yesu roho zote zinazoendelea kutilia mkazo hayo maagano katika maisha yangu na naziteketeza na kuzivunavunja kwa Jina la Yesu. 3. Kitu chochote kilichoingizwa kwenye maisha yangu,kwa mkono wa kipepo, au majini ninakiamuru kiachie kwa JIna la Yesu. 4. Kila aina ya sumu iliyopenyezwa kwenye maisha yangu nina iamuru itoke nje sasa, katika jina la Yesu, nina sukuma nje kwa damu ya Yesu. 5. Ee Bwana Yesu, shusha moto juu ya kila roho ya mauti na kuzimu, iliyoandaliwa kwa ajili yangu, katika jina la Yesu 6. Nina ponda kichwa na kukanyaga kila mkia wa majoka ya kiroho, katika jina la Yesu 7. Upanga wa moto...

SOMO;ACHA KUSIKILIZA MAPEPO

SOMO; ACHA KUYASIKILIZA MAPEPO《 ACHA KUSIKILIZA MAGONJWA, ACHA KUSIKILIZA MATATIZO MSIKILIZE YESU TAYARI AMESHAKUFUNGUA.》》 ●●●●●●□□□□□●●● Vitabu Rejea:1samweli:28:7-10, 1wafalme:22;22-23 Ayubu;4;15, Mathayo;8;30-34 °°°•••••°°°°••••••••▪︎▪︎▪︎°°°°•••°°°°°°° Naitwa Pastor Richard  Ninayekuandalia Somo hili na kuliwasilisha Kwako Leo 30/04/2022 Karibuni Katika Somo hili linalosema[ "ACHA KUSIKILIZA MAPEPO"] Linalenga kukufungua wewe usiyesikia watumishi wanaposema Umefunguliwa Umeponywa ukirudi nyumbani yanaanza mawazo ya kukurudisha kwenye magonjwa tena hizo huwa sauti za MAPEPO zinakufanya Umepona Leo Kesho unaumwa tena Umetoa zaka Leo Kesho unaacha. Ujue unateswa na MAPEPO Soma kwa umakini rudiarudia uelewe vyema. MAANA YA PEPO PEPO Ni Nini? Ni roho chafu zenye umbo la mtu visivyoshikika vipo kama moshi au Upepo. Ni moja ya Jeshi la Shetani linalomshambulia mwanadamu kuzuia malengo afya na maono yake. DALILI ZINAZOKUJULISHA UNASIKILIZA MAPEPO. _________________________________...