SOMO;MAOMBI YA KUWEKA NADHIRI 2025
SOMO: MAOMBI YA KUWEKA NADHIRI. Kuna Wakati Ukiona Maombi Yanachelewa Kujibiwa Weka NADHIRI au ALAMA. NADHIRI Itaendana na ukubwa wa tatizo lako lilivyokusumbua ndiyo hivyo utakavyoweka nadhiri kubwa. Mfano: NADHIRI YA HANNA ukisoma ;1Samweli 1. Alikaa Muda mrefu bila kupata mtoto aka8ngia maombi ya NADHIRI. NADHIRI hutimizwa katika madhabahu uliyoihusisha au Mchungaji uliyemhusisha. USIPOTIMIZA NADHIRI HUWA INAKUTESA MWENYEWE ULIYEIWEKA OMBA HIVI 1️⃣:Bwana Yesu Naweka Nadhiri Katika Madhabahu hii ya Moto Wa Yesu Unipe Mume au Mke Nikafunga naye ndoa Namimi Nitatoa Milioni moja kwenye madhabahu hii(Taja uwezo wako) ZABURI;61:8 8 Ndipo daima nitaliimbia sifa jina lako na kuzitimiza nadhiri zangu siku baada ya siku. Katika Jina la Yesu.Amen RUDIA ×4 2️⃣:Ninaomba Bwana Nitimize Nadhiri Zangu Usinipe moyo mgumu nifanye niwe mwepesi wa kutengua nadhiri yangu katika Jina la Yesu.Amen ...