SOMO; DALILI HIZI NDIYO UTAJUA MAHUSIANO YENU HAYATADUMU
⛏️⛏️DARASA LA WANANDOA⛏️🔨🔨 SOMO; DALILI TANO KUMBWA ZA KUJUA MAHUSIANO YENU HAYATADUMU UKIONA DALILI HIZI. Chukua hii mwanangu tahadhali. Soma Mithali;7;6_10 Mithali;12;4 Mwanzo;2;24 Mwalimu wa Wanandoa Pastor Richard Yupo Morogoro veta Dakawa Simu+255759861768 🔓🔓Kuna vitu unavyotakiwa uwe navyo makini katika ndoa yako mahusiano Yenu maana huwa chazo kikubwa Cha mahusiano kuvunjika au kutokuendelea katika mafanikio au hatua Mambo haya matano Ninaenda kuyafundisha. 🔓🔓 DALILI HIZI HUKUJULISHA MPENZI ULIYE NAE HUTANDUMU NAE 1;MPENDA PESA Ukiona mpenzi wako Anataka au kupenda pesa Kutoka Kwako au Anakuomba Pesa bado hamjaoana mpo tu uchumba KILA mmoja kwao ujue uchumba wenu huo hamtandumu Kutokana Mwezako kakupenda kwa ajili ya Pesa na unavyompa Pesa 2;MUONGO Ukiona mpenzi wako uliye nae anakudaganya Mara kwa Mara na ukijua anakuambia nilikuwa nakutania au Anakuambia kweli kabisa wakati unajua ...