SOMO: MAOMBI YA KUSHUGHULIKA NA MATOKEO MABAYA
SOMO:MAOMBI YA KUSHUGHULIKIA MATOKEO MABAYA. Karibu Maombi haya. ➖➖➖➖➖➖➖➖➖ Huwa ipo hivi unapopanga mipango yako vizuri Tambua ulimwengu wa roho nao unakuwa unapanga upate matokeo mabaya ili ukate tamaa na kurudi nyuma uachane na hicho kitu. Mfano unawaza mwaka huu ufungue Biashara Utaanza kutafuta flem na mtaji utapata vizuri shinda kuianza hiyo biashara unaweza kwenda kufanya Jambo ambalo hukupanga likakupa matokeo mabaya. wapo watu wanashindwa kusonga mbele kutokana na matokeo Mika 5:2 [2]Bali wewe, Bethlehemu Efrata, uliye mdogo kuwa miongoni mwa elfu za Yuda; kutoka kwako wewe atanitokea mmoja atakayekuwa mtawala katika Israeli; ambaye matokeo yake yamekuwa tangu zamani za kale, tangu Bethlehemu Kalikuwa Ka mji kandogo Sana lakini ndiko kalileta na Kupewa kibali azaliwe huko Yesu na matokeo yake yalikuwa mazuri maana kupitia Yesu Dunia ilipata kuokolewa na mji k...