Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Mei 22, 2020

Somo;Imani yenye udhihirisho

💪💪SOMO;👉IMANI YENYE UDHIHIRISHO WA MAJIBU. Tufunue Daniel;3;na sura ya 4 Yote 👉Darasa la Biblia 👉MWALIMU Pastor Richard $2020 Tunaona IMANI ya Vijana watatu waliokuwa Wapo katika nchi ya kigeni wakakuta wenyeji wanaabudu miungu wanauliwa nakuchomwa Moto MFALME wa Utawala huo alikuwa na roho mbaya Sana Vijana Hawa Meshaki,Abidnengo na Shadraka walimjua Mungu wao na walisema moyoni mwao wakapatana hatutaabudu Sanamu nakuzipingia magoti Sanamu wakakubaliana Siku hiyo ilikuwa majira ya saa 12 Alfajiri filimbi ya watumwa wa MFALME waliitajika waingie ibadani mfalme akashangaa Vijana hawakutokea alimtuma msaidizi wake akawaita akawauliza nyie Vijana mbona ibadani Leo hamjaja Wale Vijana kwa Pamoja wakamwambia Mfalme hili Swali halina majibu hatujaja sababu Sisi hatuwezi kuabudu Sanamu na Kukunyenyekea wewe haipo 😳😳Mfalme Nebukadarenza Akasema Nyinyi Vijana mnanitania utaratibu wangu hapa mtaabudu Tu na mt...