Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi 6, 2026

SOMO:NAMNA YA KUISHI NA MWANAUME AMBAYE HANA HELA

SOMO: NAMNA YA KUKAA NA MWANAUME AMBAYE HANA HELA KWENYE NDOA  Naitwa Mwalimu Wa Wanandoa.  Pastor Richard Wa Morogoro WhatsApp group +255710889892 UTANGULIZI Ni Ukweli Usiopingika Wanawake Wengi Hutazama Pesa na Wengi Wanaolewa na Pesa cheo au Mali Kwa Kutazamia Wakiolewa na Wanaume Wa Maisha yenye uchumi mkubwa watabadilisha Maisha yao au watakizi mahitaji yao na NDOA Zao Zimekuwa za moto Kumbe Hawakuelewa Pesa haiwezi kununua Utu wao Endelea nami point Muhimu nimekupa Lengo ujifunze kitu kama unanyongeza utaniambia.  ​1. Thamani ya Utu na Hofu ya Mungu . ​mwanaume mwenye pesa asiye na utu anaweza kumgeuza mke kuwa "mtumishi wa ndani."au Kumtumikisha kwa Mali zake.  ​Zingatia: Pesa zinaweza kuja na kuondoka, lakini tabia, utu, na hofu ya Mungu ndivyo vinavyobaki wakati wa dhoruba na kudumu milele. ​2. Akili ya Utafutaji (Vision -Maono)  ​Mwanaume asiye na pesa leo si tatizo, tatizo ni mwanaume asiye na maono wala jitihada ya kuitafuta Pesa kwa ajili ya maisha ...

SOMO:SIRI YA FUNGU LA KUMI

SOMO:SIRI ZA USHINDI WA FUNGU LA KUMI UNAPOLITOA KWA UAMINIFU.  Ni Utaratibu Wa Madhabahu hii Kukufundisha uelewe kitu katika Uaminifu Wa Zaka. Hapa nimeandika Point Muhimu tu Uzijue .  ​1. MAANA NA KIWANGO CHA ZAKA ​UFAFANUZI  Zaka ni 10% ya mapato yako yote kabla ya makato yoyote ya kazi yako unayoifanya (kama kodi, bima, au madeni). ​KUSUNDI:Ni agizo la Mungu lililowekwa kwa ajili ya ulinzi wa kazi na mapato yako Unayoyafanya Malaki:3:8-12 ​ 2. KANUNI YA MADHABAHU  1:MOJA NI ​UAMINIFU WAKO KWA MUNGU:  Fungu la kumi linapaswa kutolewa kwenye madhabahu inayokulea kiroho na unayoshirikisha maombi yako. ​Utambuzi: Ili madhabahu ikutambue na kukujibu, lazima uwe mwaminifu katika utoaji wako mahali hapo. ​### 3. MASHUJAA WA IMANI KATIKA UTOAJI Shujaa ✍🏾Tendo la Uaminifu ✍🏾Matokeo ya Kiroho Konelio✍🏾 Alitoa zaka kwa ✍🏾  uaminifu na kufundisha familia yake. Mungu alisikia na kujibu maombi yake (Matendo 10:1-6). Tabita✍🏾 Alitoa za...