Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Agosti 15, 2023

SOMO: NAMNA YA KUTOA SADAKA YA KUJENGA MADHABAHU

SOMO👉👈: NAMNA YA KUTOA SADAKA YA KUJENGA MADHABAHU YA BWANA  NDANI YAKO. Naitwa Pastor Richard  Nakuletea Somo hili ujifunze kitu Nipo Morogoro Veta Dakawa  Madhabahu ni mahari patakatifu panapo mfanya roho wa Mungu akae aanze kuhudumia watu kuwafugua na kuwaponya. MADHABAHU ni mahusiano yako ndani Kati Yako Na Mungu. Haya Mahusiano Yako na Mungu ndiyo Yanayokufanya uombe uone matokeo ya ulichoomba. Pia ndiyo yanayokufanya wewe uombe usione matokeo Kama unaenda Kuomba huna mahusiano na Mungu. NDIYO  sababu inayowafanya watu Waende kuombewa na mwigine waone matokeo kwa sababu wao hawana madhabahu ya Bwana Hawana uhusiano na Mungu. KUNA AINA MBILI ZA MADHABAHU  1:MADHABAHU ZA miungu. Ambayo ni uchawi,uganga,mizimu nk Tusome hapa 👇👇👇 Kutoka 34:13 [13]Bali utabomoa madhabahu zao, na kuvunja-vunja nguzo zao, Kumbe Basi Kama unataka Kujenga madhabahu Ya KIMUNGU ndani Yako Lazima uziondoe Tabia zinazofanya uharibu uhusiano wako na Mungu  1:Kuabudu miungu...