Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi 27, 2020

✍️✍️SOMO:ONDOA

✍️✍️SOMO: ONDOA ✍️✍️ Tufunue Biblia Zetu Tusome Vitabu hivi 👉 Muhibiri;11;10👉 Waebrania;10:9-11;Luka:11;55 Yohana:20:15 Wakolosai:2;14                  ✍️✍️✍️UTANGULIZI✍️✍️✍️ Karibuni katika Mafundisho ya Neno la Mungu kwa Majina Naitwa Pastor Richard Ninakuwasilishia SoMo Hili Leo nataka kuwafungua watu ambao wameshindwa kuondoa horu woga Uzinifu ulevi Uchawi kwenda kuamini miungu Kutambika machukizo ndani Yao yanayowazuia Mungu anapo waletea majibu anawakuta bado hawajaondoa hofu hawajaondoa fikira za kujiona wao maisha Yao ya magonjwa tu maisha Yao ya kukaa singo tu maisha Yao yakuendesha bodaboda tu maisha Yao yakuunza mgahawa tu Bado kunawatu Leo hii Wanateseka kwa Sababu Kuna Fikira na mtazamo walisha uweka kwenye fikira Zao Mawazo yao Vijana wezao wanaw...