Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Agosti 14, 2023

SOMO; MAOMBI YA UKOMBOZI WA NAFSI, MWILI NA ROHO.

SOMO: MAOMBI YA UKOMBOZI WA NAFSI , MWILI, NA ROHO Naitwa Pastor Richard  Nipo Morogoro Veta Dakawa  Nifate WhatsApp +25759861768 nikuuge kwa group la maombi na mafundisho kama bado A:MAOMBI YA UKOMBOZI WA NAFSI Katika maisha Nafsi ni kiugo mhimu sana Kwenye maisha ya kiumbe chochote Kilicho na Damu. Biblia inasema nafsi ni uhai. Mwanzo 2:7 [7]BWANA Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai.  Tafsiri yake nini ukiona mtu mambo yanakuwa vizuri  Kila Kitu akiamua kukifanya kinifanyika kwa Sababu Nafsi yake ipo hai haijaharibiwa  Dalili za haraka zinazojitokeza Nafsi Adui anapoiharibu. 1:Unakuwa mtu wa hasira hasira kila mara  2:Unakuwa mtu wa kuahirisha ahirisha. 3;Ufahamu wako kujiongoza na kujisimamia huwezi mpaka ukubushwe yaani masaurifu. 4.Unaanza Kufanya mambo yanayoonekana kwa jamii na kwa watu ya ajabu mfano. Uchawi. Uzinzi, ulevi nk 5.Unakuwa na hofu sana na woga mashaka mashaka. 6;Unaanza Kukata t...