SOMO:CHANZO CHA MATATIZO YAKO
SOMO: CHANZO CHA MATATIZO YAKO. Nawakaribisha katika Nakala hii Ambayo itakufanya ujue ukweli wa matatizo yako yanasababishwa na nini nawewe Utaweza Kutengeneza kama utaitaji kupona lakini kama utaitaji kuagamia hutaweza kutengeneza na Mungu. Sasa nakuarika utenge sikio lako ujifunze Neno la Mungu na Pastor Richard Huyu mtumishi yupo Morogoro Veta Dakawa Mfate WhatsApp Yake +255759861768 MAANA YA CHANZO CHA MATATIZO Ni Kitu ngani kinalifanya Tatizo ndani yako lipate nguvu mzizi wake ni nini? Ukitaka Kupona tatizo lolote lile Tafuta chanzo usitafute tatizo. KUNA MAMBO MATATU YAKUZIGATIA NA NDIYO YANASABABISHA UPITIE MATATIZO UKINIELEWA SOMO HILI UMEPONA. A;MATOKEO YA DHAMBI Vitabu rejea: Mwanzo:4:7 Mhubiri.8;12 Yeremia;14:20,Mithali:17;19 Matendo;3;19 Neno linasema hivi; Mwanzo 13:13 [13]Lakini watu wa Sodoma walikuwa wabaya, wenye kufanya dhambi nyingi sana juu ya BWANA. Dhambi utafurahia unapoifanya kama hauna hofu ndani yako ya kiungu Na utajipa moyo haku...