Somo;Kijana usioe/Kuolewa na mgomvi
SOMO: KIJANA 🍓🍓 USIOE/KUOLEWA 🍓🍓NA MTU MGOMVI ANAYEPENDA KUTUKANANA LUGHA CHAFU Mithali;21;9,19 ✍️ Mithali;25;24✍️ Mithali ✍️27;15 Kuna wakati Kija anakosea mahusiano na Uchumba Anaanzisha uchumba toka marafiki mpaka wachumba mmoja wao anakuwa Hana furaha Hana siku waliokaa Pamoja wakaelewana KILA siku ugomvi hawezi Kujua Kama kwenye mahusiano tu kila siku ungomvi je mkifunga ndoa. KIJANA unapaswa uvunje mahusiano yanayokuwa kila siku mmekosana au matusi au Kitu kidongo tu mwezako Ameshakukatia Mawasiliano. Katika maisha ya ndoa kijana Usije ukaingia kuanzisha maisha ya ndoa ya magimvi Kila Kitu kitengeneze vizuri unapokuwa Kwenye urafiki na Uchumba Usikimbilie ndoa halafu ukaingia kwenye ndoa ya maumivu. Naitwa mwalimu Wa Wanandoa Pastor Richard Simu+255759861768