Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Januari 19, 2024

VIKUNDI VYA MAOMBI MIKOANI

UTARATIBU WA VIKUNDI VYA MAOMBI KILA MKOA TUTAKAVYOUONGOZA NA KUSIMAMIA SISI VIONGOZI  Tunalenga Kujifunza na Kuomba Bila Kukoma Kama Neno linavyotuangiza 👇👇👇👇👇👇👇 1 Wathesalonike 5:16-18 [16]Furahini siku zote;  [17]ombeni bila kukoma [18]shukuruni kwa kila jambo; maana hayo ni mapenzi ya Mungu kwenu katika Kristo Yesu.  👇👇👇👇👇👇👇 Kila mtu ni wajibu kujua kuomba na kujifunza kuomba Nami Kama Askofu mkuu wa makanisa ya Holy Spirit church Tanzania (Moto Wa Yesu yenye Usajili no 21139 )Yenye makao yake makuu Morogoro  Wilaya ya Kilosa Kata ya mbigiri Kijiji cha mateteni  Napitisha  Tuwe na Vikundi vya Maombi kila Tulipo ili kusaindiana Kiroho na Kujengana Kiimani hii baada ya wengi kuniomba tufanye hivi UTARATABU UTAKUWA HIVI; RASMI KUANZA:Mwezi wa Pili Tutaanza rasimi saivi Unachotakiwa waandae wanaopenda maombi kuomba na kujifunza nawewe utakayeanzisha hili hapo ndiye utakuwa kiongozi wa msimamizi wa maombi eneo hilo utakapokuwepo. JINA LA KIKUND...

SOMO; MAOMBI YA KUJIONDOA KWENYE NIRA ZA VIFUNGO

SOMO;MAOMBI YA KUJIONDOA KWENYE NIRA  ZA VIFUNGO ULIVYOFUGAMANISHWA NA WATU. Naitwa Pastor Richard ninayekuandalia SOMO  hili kwa muongozo wa Roho Mtakatifu.  Nipo Morogoro Veta Dakawa.  👇👇👇👇👇👇 NIRA NI NINI? Nira ni kiuganishi au ubao au chuma inayotumiwa kuvishwa ng,ombe wakati mkulima analima ili kumsaindia Wale ng,ombe kutembea katika Njia moja. ============================= Soma hapa👇👇 Isaya 58:9 [9]Ndipo utaita, na BWANA ataitika; utalia, naye atasema, Mimi hapa. Kama ukiiondoa nira; isiwepo kati yako, wala kunyosha kidole, wala kunena maovu;  Inaonyesha Kumbe nira nikifungo kinachokuwa mtu kinamuongoza atamke maneno maovu yanayomfanya mtu ajibembeshe mzingo kupitia maneno ya kinywa chake kama kutukana kujifunga na kunug,unika. ASILI YA NIRA Nira asili yake imetokana na Neno La Kilatini I ugumu lenye maana kiuganishi au Fimbo ya kuvikia ng,ombe wanapolima. KIROHO NIRA NI KIFUNGO; Kifungo ni kitu chochote kinachomnyima uhuru mtu mwingine Kifungo mara...