Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Oktoba 28, 2021

SOMO: NGUVU YA WOSIA

SOMO;👉🏿 NGUVU YA WOSIA USIOGOPE KUTOA WOSIA 👆👆👆👆👆👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼 KITABU CHA KUSIMAMA YOSHUA:23 Naitwa Pastor Richard ninayekuwasilishia NAKALA hii Katika NAKALA Unayoenda Kuisoma imekopiwa Kutoka Kwenye Ukurasa wa Ijue Sheria Ili Kukusaindia Kuelewa Nguvu ya Wosia Kwanini Watu Kwenye Biblia walikuwa wakifikia umri Fulani wanawaita watoto wao na watu waliopenda wanawapa wosia Kwa Sababu hawakutaka Kipindi watakapokufa Mali zao au mipangilio iharibike SOMO HILI KUNA MTU MMOJA HUMU NAMLEGA ILI KUMPONYA Nini basi maana ya wosia? Wosia ni tamko lenye nguvu kisheria ambapo mtoa wosia anakusudia ni namna gani mali yake au zake zitasimamiwa baada ya kifo chake. Katika wosia mtoa wosia anaweza kuelezea ni kwa namna gani mali yake au zake zitagawanywa kwa warithi wake, kiwango ambacho watagawiwa, orodha ya mali anazom...