Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Januari 16, 2024

DALILI ZA MTU KUFUNGULIWA ANAPOOMBA

SOMO: DALILI ZA MTU KUFUNGULIWA ANAPOOMBA. Tunapoomba huwa hakika ufalme wa ngiza tunaupiga na kuubomoa huwa Ni vita kwa sababu ule ufalme wa ngiza unakuwa ulishazoea kumtesa mtu na kumfunga na watu wanateswa na majeshi mengi mfano. Mtu unamkuta Anakuwa anahofu, Anakata tamaa,Ananug,unika,Anahasira, Mwoga anahirisha ahirisha vitu hili huwa jeshi la mapepo katika ufalme wa ngiza. Mwigine Anateseka na magonjwa yasiyoeleweka, Vitu vyake vinakufa kufa tu, Anashika mimba zinaharibika, Hashemi mimba au uume hausimami, Anasikia vitu sehemu za siri, kutokwa blidi isiyoisha, au kukosa blid nk. Hizi Dalili za Jeshi la Wachawi na Waganga Mwigine Atakuwa Anaota ndoto watu waliokufa anaongea nao, au anaota yupo makaburi,au misimba au yupo kijijini alikosomea,au kuota wamasai au wanyama kama ng,ombe nk Hili ni jeshi la mizimu  Mtu mmoja unaweza Kumkuta anateseka na haya majeshi yote Wachawi wanamtesa Mapepo na mizimu  huyu mtu anapokuja kuanza kujifunza kuomba na akaelewa kuomba kwanza anak...

SOMO:MAOMBI YA MWISHO WA MWEZI NA MWANZO WA MWEZI

SOMO:MAOMBI YA MWISHO WA MWEZI NA MWANZO WA MWEZI.  🍀🍀🍀🍀🍀🍀🍀🍀🍀🍀🖍🖍🖍🖍 Wakati nafunga mwaka nikiwa katika kuwaombea mahitaji mliokuwa mmeyatuma nikiuganisha na ya kanisani maelekezo yaliyotoka katika kuwaongoza watu mliopo kwenye Group kutoka kwa Mungu mwenyewe Akasema mtakuwa na maombi ya mwazo WA MWEZI na Mwisho wa Mwezi yatakayokuwa yanaombwa mwisho wa mwezi maelekezo ya uombaji yalikuwa kama ifatavyo; Mungu wetu hutembea katika maelekezo hapa Yoshua anapata nguvu kusimamisha mwezi hata wewe mwezi ukakutii ukalete Baraka zako upokee ushuhuda  kila mwezi Naitwa Pastor Richard  Nipo Morogoro Veta Dakawa  👇👇👇👇👇 Yoshua 10:12-13 [12]Ndipo Yoshua akanena na BWANA katika siku hiyo ambayo BWANA aliwatoa Waamori mbele ya wana wa Israeli; akasema mbele ya macho ya Israeli,  Wewe Jua, simama kimya juu ya Gibeoni;  Na wewe Mwezi, simama katika bonde la Aiyaloni.  [13]Ndipo jua likasimama, na mwezi ukatulia,  Hata hilo taifa lilipokuwa limekw...