✍️✍️SOMO:HAYA NDIYO YANAVUNJA UCHUMBA AU KUSABABISHA MAHUSIANO KUVUNJIKA
✍️✍️SOMO:HAYA NDIYO YANAVUNJA UCHUMBA WAKO YAEPUKE. Mwal:Pastor Richard Nipo Morogoro veta Dakawa Simu+255759861768 👉👉DARASA LA WANANDOA Tufunue Biblia Zetu Tusome Vitabu hivi 👉 Mithali;7;6-10👉 Mithali;13;1 Hizi Ni Sababu za Mahusiano au vyazo 1. Kutokuwa na mawasiliano ya karibu na mwenzi wako. 2. Kutojali maumivu ya mwenzi wako. 3. Ubishi usiokuwa na maana. 4. Kupenda kujihesabia haki. 5. Kutokubali makosa. 6. Kutokuwa na roho ya msamaha. 7. Kutokuwa muwazi kwa mwenzi wako. 8. Usaliti wa mapenzi. 9. Kuigiza kupenda. 10. Kutomheshimu mwenzi wako. 11. Kuwa mjuaji kila kitu unajifanya unajua. 12. Kutokutambua uthamani wa mwenzi wako katika maisha yako. 13. Kuwa na jeuri. 14. Kutokuwa na kifua cha kuficha mambo ya nyumbani. [chumbani] 15. Kuto kujali watu wa nyumbani kwako [ndugu,watoto n.k] 16. Kujiamulia kufanya vitu bila ushauri wa pamoja. 17. Kutokuwa na faraja na mwenzi wako [kutokujua jinsi ya kumfariji...