Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Februari 23, 2024

SOMO: MAOMBI YA MTU ATESEKAYE NA MAPEPO

SOMO;MAOMBI YA KUOMBA KWA MTU ANAYETESWA NA MAPEPO πŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏ Habari Mtoto Wa Mungu Naitwa Pastor Richard Ninataka Ujifunze Kumfungua mtu mwenye mapepo. Unapomfungua mwenye Pepo Zingatia haya. 1.Mazingira yawe wazi palipo na nanafasi maana mengine huwa na funjo. 2.Ondoa Woga na Hofu Jiamini na Utoe Sauti Kwa Kukanza yenye Amri. 3.Tumia mistari Mfano. 2Wakoritho.10;3-6 Simamia 4.Tazama ishara na Vitendo lile Pepo linavyokufanyia Unamkomboa mtu mwenye Mapepo. Mfano. WADALILI ZA MAPEPO UNAMFUNGUA MTU. 1.Kama linarebua na kutembea kwa kunata ujue jini mahaba  2.Akiwa anatembea Anajivuta na kujinyoganyoga mwili Unaambiwa ndani mwili yumo Jini Nyoka. 3.Unapoona Haongei wala kuzungumza Yumo Jini Kiburi endelea kuchochea Moto wa Yesu Moto wa Yesu. 4.Unapoona Mtu unamuombea Anavua nguo Jini Kichaa endelea kuomba tu. 5.Unapoomba Ananyosha vidole Anaomba msaada wa wezake waingie ndani mwili huo Apate msaada wewe omba haribu msaada. Nk Kuwa mfatiliaji na makini kuzifichua...