Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Februari 1, 2021

SOMO:UKOMO wa KUZAA KIBIBLIA

DARASA LA WANANDOA. SOMO: UKOMO WA MWANAMKE KUZAA NA MWANAUME KUZlLISHA. Karibu mwanandoa Leo nataka Tuelimishane Kibiblia mwisho wa kuzaa Kipindi hicho au umri huo ukifika huwezi kuzaa Tena. Mimi napenda Nikukaribishe mwanandoa Wewe Ambaye hujabahatika Kupata Mtoto au Uliyekuwa umekata Tamaa unasema umri umeenda. Naitwa Bishop Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa Simu hizi Piga Jioni Saa 12:00  kwa Simu+255759861768 1; MWANAMKE UMRI WA KUKOMA KUZAA NI MIAKA 80 Biblia inaeleza mwanamke Kukoma umwanamke wake na Kuweka Asilimia Kuwa Yeye Hawezi Kuzaa Tena Mungu Anasema miaka 80 Na mwanamke anaweza akawa Bado anaona hedhi na Siku zake hii huwa Inasimama hivyo Kwa Mungu wetu. USHAURI Unashauriwa uzae ukiwa na umri wa miaka 25 mpaka 60 ikivuka Ni heri ukaacha kwa Ajili ya Kiafya na umri wa kukaa na Mtoto 2;MWANAMME UMRI WA KUKOMA KUZALISHA 90 Biblia inasema mwanamke wa miaka 90 anaweza Kuzalisha na hi IPO Kibiblia Lakini pia inatia moyo kwa Wanandoa Wengi waliochelewa Kuzaa na ...

DARASA LA VIJANA NA WATOTO

DARASA LA VIJANA NA WATOTO SOMO: KIJANA THAMANI YAKE AKIOKOKA NDANI YA KANISA HATA KATIKA JAMII. Karibu Tunaongelea Leo Thamani Ya Kijana mkristo Nafasi Yake kibiblia na mbele za Mungu. Kijana huandamwa na Tamaa mbalimbali na Changamoto za utafutaji Zinazomfanya Aishi mbali na Mungu Kutokana na Kuwa na muda mchache wa Kupumzika Mungu anatambua Kijana husumbuliwa na Tamaa za Pesa Mali Ujana Ukisoma 2Timotheo:2:22 Karibu Katika Darasa Hili Naitwa Bishop Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa MAMBO SABA YA MSINGI YA KUKUSAIDIA KUTAMBUA THAMANI NA NAFASI YAKO KAMA KIJANA MKRISTO 1.  Ni vizuri ufahamu kwamba KABLA HAUJAZALIWA Mungu alishakujua na aliweka tayari KUSUDI,  NYAKATI, na UWEZO ndani yako maalum kwa ajili ya KANISA.{Yeremia 1:5; Zaburi 139:13,15,16;} Kijana unatakiwa ujue Kusundi ambalo Mungu amekuitia Kama Ni kuimba imba Kama Ni uchungaji uinjilist Tumika Kwa Kujitoa Kweli Kweli Usiishi maisha ya Kikristo bila kujua Kusundi lako 2. Tambua kuwa hakuna Rika lililopew...