SOMO MAOMBI YA UKOMBOZI WA TUMBO LA UZAZI
SOMO:MAOMBI YA MWANAMKE ANAYETAKA KUZAA WATOTO AMBAYE ANAMATATIZO YA KUTOSHIKA UJAUZITO (Hakuna Tasa Kwa Mungu( ππΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏπππππΉπΏπΉπΏπΉπΏππππ΄ Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro wilaya ya Kilosa Kata Ya Mbigiri Kijiji cha Mateteni Kanisa la Holy Spirit church Tanzania Moto wa Yesu Karibu maombi haya yasome kwa umakini na kwa utulivu kisha omba ukiwa na imani na Mungu Kama Huna Imani Au Unajiona Hutaweza Basi Usiombe maana Maombi haya yanawataka watu wenye Imani wenye kujua uwezo wa Mungu wao wanayemuomba. Soma:Warumi;10;17 Hakuna Neno linalokuambia hutazaa utakuwa tasa ukiona huzai ujue ipo dhambi au Mungu anataka Ajitukuze kupitia msimamo wako utakavyoendelea Kusimama Soma; 2WAKORITHO.3-6 MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUOMBA 1.Utaomba Maombi Haya Siku 7 Bila Kufunga. 2.Utakuwa na Sadaka Kuanzia 50000 nakuendelea 3.Utaomba Kwa Kufata Muongozo uliopewa 4.Utaitoa Sadaka Siku ya 7 Unanipigia nadhibitisha nakukuombea. MATATIZO YANAYOTOKANA NA DHAMBI KUT...