Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Aprili 24, 2020

SOMO:BINU (7) ZA KUBORESHA MAHUSIANO MNAPOANZA MAHUSIANO

✍️✍️✍️SOMO; BINU SABA(7) ZA KUBORESHA MAHUSIANO MNAPOANZA MAHUSIANO. Mithali;31;7-12 Mithali;12;4 ✍️✍️ MASOMO ya WANANDOA ✍️✍️MWAL.PASTOR RICHARD ✍️✍️SIMU+255759861768 Nipo Morogoro Veta Dakawa Karibu Katika DARASA la Wanandoa Leo naongelea Mambo mhimu unatotakiwa uyafanye ukiwa ndio unaanza mahusiano Yako au ulishaanza mahusiano lakini umeyafanya mzoeane mpaka vitu vigine ulivyokuwa unavifanya saivi huvifanyi Basi Karibu ujifunze Cha Kwanza Msingi wa mahusiano Yako au ndoa huaza kutengenezwa mkiwa ndio mnaanza ukifanya makosa hapo unaweza kuadaa kitu kitakachokunyima Amani. 1.✍️✍️Mwanzo  wa Mahusiano. 🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈 Msidanganyane(a)Mwambie mwenzi wako ukweli. (b)Mwambie yale unayopenda na usiyopenda. (c)Kuwa muwazi kwa mwenzi wako. (d)Onyesha upo tayari kuachana na mambo yote uliyokuwa umeyazoea ambayo kwa sasa yanaweza bomoa uhusiano wenu. 2.✍️✍️Mfanye Mwenzako Ajisikie ni wa Muhimu. 🎈🎈🎈🎈🎈🎈😮😮 (a)Tenga muda maalumu wa kuwa naye. (b)Onyesha unafurahia uwe...

Somo: Dalili za mme mwema

✍️✍️SOMO;✍️ DALILI ZA KUJUA UMEPATA MME MWEMA/MKE MWEMA ULIYE NAE UTAMJUA KWA HAYA, Mithali;31:7-11 Mithali;12;3-6 ✍️✍️DARASA LA WANANDOA ✍️✍️MWAL.PASTOR RICHARD ✍️✍️SIMU+255759861768 Nipo Morogoro veta Dakawa. ✍️✍️Tunakutana Katika Masomo ya Wanandoa Kwa Lengo la Kutunza Ndoa Zetu na Kujua mahusiano yetu yapo sahihi nakuyajenga yalipobomoko Kiukweli Katika Jambo la Kupata MKE mwema au Mme mwema Ni rahisi Sana ukiwa mvumilivu na mwanamaombi usiyechoka kumuomba Mungu na Msimamo utakipata kilicho Bora Kwako na chenye Faida katika maisha Yako. ✍️✍️Wapo watu huamini mme mwema hayupo au MKE mwema hayupo Wapo Sana shida watu wa Ni Adimu Sana wanapatikana makanisani tu Lakini wanaume waliokamilika Wenye hofu ya Mungu Wanapatikana popote unaweza kutana nao hata mtandaoni hata Kwenye usafiri hata Lakini Mme mwema Hutamuo...