SOMO:SAFARI YA MTU TAJIRI NA MASIKINI DUNIANI. MITHALI.28-11
TAJIRI NI MTU GANI? ni mtu aliyeridhika kimaisha mwenye kila kitu alichotaka au umwinyi MASIKINI NI NANI? ni mtu asiye na kitu alichotamani awe nacho au ni utumwa wa maisha magumu SAFARI ZA WATU HAWA HUANZIA UJANA WAO. MTU MASKINI huukaribisha umaskini toka akiwa kijana anakuwa mvivu wa kujituma katika kazi au kuwa anafanya kazi pasipo na malengo kijana huyu hatataka kujifunza kwa vijana wezake atafanya kazi pesa yote itaishia katika starehe tu atashindwa kununuq kitanda hata ngodoro akili yake itawaza kuolewa au kuoa badala ya to fight life everytime man make postive life naver think negative life poor man your succes not camming coz the unprove mood pia umasikini mtu humkuta asipojipanga akiwa na nguvu yeye anakaribisha uvivu na kushinda kijiweni kujiuga na makundi ya ajabu kufumba na kufumbua uzee huo hunaanza kulaamu ndugu wazazi marafiki unaanza mara kwa mjomba mara kwa shemeji mara huku unawapa mzingo watu kwa akili yako haikufanya kazi ujanani unailazimish...