SOMO: MAOMBI MBALIMBALI YA KUVUNJA MAAGANO YA DAMU.
SOMO: MAOMBI MBALIMBALI YA KUVUNJA MAAGANO YALIYOFANYWA KWAKO NA WACHAWI KUHUSISHA DAMU Naitwa PASTOR Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa Vitabu rejea Mwanzo:4:10-15 ISAYA:26:21 Kutoka:7;19-20 EZEKIELI;16:36-38 1Wakoritho:11-25 Waebrania:9:20 Huwa wachawi wanatumia damu yako au ya mnyama Kuweza Kuuwa kila kitu nasema kila kitu Kuuwa Afya yako Kuuwa uchumi wako Kuuwa Kazi Yako Kuuwa Malengo yako. Damu huwa ni uhai wa kila kiumbe chenye damu kiliunganishwa uhai wake kupitia Damu . Wachawi hutumia damu ya Wanyama,Ndege,Watu, nakuchinja ambayo huwa kafara ya damu wanayoitumia Kuuwa vitu mbalimbali kwako kama afya unakuwa mtu wa kuumwa umwa Tu Kukosa kazi Kuishiwa Damu mara kwa mara kupenda kuzini kutoa mimba mara kwa mara kuwa na magonjwa yanayohusisha zinaa mfano.H.i.v Kisonono. NK KATIKA VIFUNGO HIVI WACHAWI HUTUMIA .NJIA ZIFATAZO. 1:Waganga wanakuambia upeleke kuku au mnyama harafu wanamchinja Kumbe Wanweka Patano na Wewe kupitia damu hiyo. 2:Damu ya Bl...