MISINGI (10) YA IMANI YETU YA KANISANI YA HOLY SPIRIT
MISINGI (10) YA IMANI YETU KANISA LA HOLY SPIRIT 🌐Sauti Yetu Ya Pamoja Kama Kanisa la Roho Mtakatifu Tunaamini Huduma ya Roho Mtakatifu Ni Ukombozi wa fikira na mawazo ndani ya mtu Hali ambayo hufanywa na Roho Mtakatifu *Kufundishwa Neno la Mungu *Kuombewa Tatizo kwa kufata chazo Cha Tatizo ambalo Roho Mtakatifu hulifunua nakulionesha; Mstari wetu unaosimamisha Imani Yetu 2Wakoritho:3:6 🌐🌏Tunaamini Mungu Ni mmoja na wakweli Tena Ni Roho Ambaye Ameziumba Roho Zote Zinazoonekana na Visivyoonekana Yohana:4:24 Mwanzo:1 Isaya 43:10 🌏🥝🌐Tunaamini Dhambi ndio chazo Cha Mwanadamu kukosana na Mungu 2Nyakati:7:14-16 🥦🌏🥦✔️Tunaamini Hakuna Gumu Kwa Mungu Yote anaweza Yeremia:32:27 Matendo;8;37 🥦🥦🥦🌐Tunaamini Sisi Ni Wahudumu wa Angano jipya katika Roho Mtakatifu na SI Katika Mwili 2Wakoritho;3✔️✔️Soma Yote 🌐🌐...