SOMO; MAISHA YAKO YAKAINUKE UPYA ADUI ZAKO WALALE CHINI YAKO
🌍🌎🔥🔥SOMO: MAISHA YAKO YAKAINUKE UPYA ADUI ZAKO WALALE CHINI YAKO🔥🌴🌴🌴 Tufunue Biblia Zetu Natumaini Yu Mzima na Upo Fireee Bado Moto uliotoka nao Veta Dakawa Bado unawakaa Basi Leo Adui yako akainamishe kichwa chini yako Iwe Ni ugonjwa madeni mapepo kudharaulika;Kukatishwa Tamaa Maisha yako kupofuka Leo hii naamuru katika SoMo hili Ukainuke na nguvu mpyaa. Zaburi;20;8 Nehemia;12;37 Nahumu;1;8 Yoshua:8;3-19 Luka;7;14-17 🌍🌎🔥 UTANGULIZI🔥🔥🌴🌴🌴 Kiukweli Tunapaswa Kuinuka na Kusimama Sio Kuwa Tunainuka Tunaanguka Tunainuka Tunaanguka Kwanini hatusimami Kwanini Tuteleze Tuanguke Nini Tatizo Tunaanzisha Vitu vinakufa havisimami Tumefungua cafe lakini saivi imefungwa Tumeanzisha duka lakini mtaji hatuoni Kwanini Hatusimami Tunaanguka Anguka T...