SOMO;MUNGU WA FOMULA
SOMO ;●MUNGU WA KANUNI KATIKA UTENDAJI WAKE ___------____-----____--____------___^^^^^^^***** Mungu wetu hutumia Kanuni rahisi Sana Kutembea nasisi Watoto Wake Isipokuwa sisi Wanae hatuna Uelewa Kuhusu Fomula au Kanuni Za Mungu Basi Nakukaribisha Baadhi Naenda Kuzieleza. Karibuni Tujifunze Kanuni za Kimungu Katika Kitembea naye. 1:UKIKATA TAMAA KANUNI YA MUNGU ANAKUACHA KUKUTETEA UNASHINDWA NA ADUI USIJIBIWE ULICHOOMBA. MAOMBI YAKO ANAMJIBU AMBAYE HAJAKATA TAMAA. Wewe anakuacha na hivyo mpaka uje uache kukata tamaa au kumunug,unikia Mhubiri 2:20 [20]Kwa hiyo nikageuka kukata tamaa moyoni mwangu juu ya kazi yangu yote niliyojishughulisha nayo chini ya jua. 2:USIPOOMBA MUNGU HAKUPI HITAJI LAKO KANUNI YA MUNGU HAKUPI HAJA YAKO KAMA HUOMBI ANAMPA AOMBAYE NDIYO ANAMJIBU WALA HAJISHUGHULISHI NAWE AMBAYE HUTAKI KUJISHUGHULISHA NAE Ukimuomba lazima Akupe utakacho au haki yako Yohana 15:7 [7]Ninyi mkikaa ndani yangu, na maneno yangu yakikaa ndani yenu, o...