SOMO: JUHUDI ZENYE NGUVU
SOMO: JUHUDI ZENYE NGUVU. ♿♿♿♿♿♿♿♿♿♿♿♿♿♿♿ Tufunue Biblia Zetu👉🏿Warumi:10:2-6👉🏿Warumi:12;11-15👉🏿Tito:2:14-16 Zaburi:119:139 Ushuhuda Mfupi; Pili alipewa 10000 Kama mtaji Baada ya miezi 5 alirudisha 20000 na mtaji Waka ukiwa umefikia 250000 Siku Moja Nilikuwa Katika Kuhubiri injiri za mtaani nilipokuwa nahubiria Ni kwenye vijiwe vya mateja na wavuta mbagi Gafla Vijana Waliinuka Kwa Somo lilikuwa Amelaniwa Amtengemeaye Mwanadamu moyoni mwake Anajishuhudia Hakuna Mungu Wala Watumishi Wa Mungu wakweli Somo liliwangusa Vijana wakashika mawe na wengine wakanisongelea Lakini Sikuogopa Na mwisho wa Siku walimpokea Yesu. KARIBUNI Naitwa Pastor Richard Ninaewakaribisha Nipo Morogoro Veta Dakawa WhatsApp Number+255759861768 MAANA YA NENO JUHUDI 👉🏿Kujituma au Kujitoa JUHUDI ZENYE...