SOMO: MAOMBI YA KUHAMISHA VINAVYOKUTESA
SOMO:MAOMBI YENYE NGUVU YA KUHAMISHA KILA LINALOKUTESA. 🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣 Soma urudie rudie ili Kuelewe 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇 1 Wakorintho 13:2 [2]Tena nijapokuwa na unabii, na kujua siri zote na maarifa yote, nijapokuwa na imani timilifu kiasi cha kuweza kuhamisha milima, kama sina upendo, si kitu mimi. 👇👇👇👇👇👇👇👇 Katika ulimwengu wa roho kuna milima inayokuwa inakutesa milima ya madeni milima mahusiano kuvunjika vunjika milima ya kutokulipwa Pesa zako ipo milima mingi Ambayo lazima ihamishwe na ili wewe uweze kupita au kuvuka. Eneo hilo. Nakukaribisha maombi haya Ya Kuhamisha Milima yaani matatizo. Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro wilaya ya Kilosa Kata Ya Mbigiri Kijiji cha Mateteni Kanisa la Holy Spirit church Tanzania. MAMBO YA KUZINGATIA TUNAPOOMBA MAOMBI HAYA: 1:Tambua Matatizo au Tatizo ngani unataka uhamishe liondoke mbele Yako. Soma👇👇👇 Mithali 1:2 [2]Kujua hekima na adabu; kutambua maneno ya ufahamu; 2.Utaomba Maombi haya Siku 14 Mfululiz...