🌳🌳✍🏾Tabia✍🏾SOMO;MTU ANAVYOFUNGWA NA TABIA NA NJISI YA KUMPONYA MTU HUYO
SOMO;🌳🌳✍🏾✍🏾MTU ANAVYOFUNGWA NA TABIA NA NJISI YA KUMPONYA MTU HUYO Tufungue Biblia Zetu Tusome Vitabu hivi Kisha Tujiulize Tabia Zetu Zinamuwakilisha Shetani au Mungu na Kwanini Tunajitesa wenyewe kwa Tabia mbaya 👉🏽👉🏽👉🏽👉🏽🌱🌱:Warumi;2;10-20👉🏽👉🏽1Wakoritho:3;1-8👉🏽;15;20-34 na 2;10-15 Waefeso;2;3-10 Tufunue Waebrania;13;1-8 👉🏽👉🏽👉🏽 UTANGULIZI 👉🏽🌱🌱 Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa Kanisa La Holy Spirit Ministry Makao makuu Morogoro veta Dakawa Nakukaribisha ufunguliwe Karibuni Katika Kipindi Cha Neno la Mungu Leo nitaenda Kufundisha na Kumponya Mtu mwenye Kifungo Cha Tabia au Anateseka hapokei majibu Yake Kutokana na ...