Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Februari 27, 2022

USHUHUDA

USHUHUDA HUU UTAKUVUSHA MAHALI SOMA WOTE      Habari Pastor Richard Mimi Ni Kijana Niliyeokoka Nampenda Yesu Sana Japo miaka 4  Nyuma Nimepita katika Jaribu la Kupenda na Kuumizwa na Wanawake Nilikuwa ninaanzisha mahusiano mwanamke anakuaminisha Anakupenda Lakini Jinsi muda unavyoenda gafla anaanza kutokujibu sms Mara akuambie Mimi nimechoka Mara nipo kwa dada nawewe huku unazidi kujipanga ukatoe mahari ukija Kumwambia Utasikia Anakuambia Subiri usije Mara utasikia Kuazia Leo sitaki kuendelea kuwasiliana na wewe hii Hali ilijitokeza kwa mabint watatu mmoja Wapo nilitoa mpaka mahari nusu akaja akaniacha  kingezo alichoniacha eti kwa kuwa Mimi Nimeokoka Yeye hajaokoka licha ya Kwamba Mimi nilimpenda  akaniambia labda nimfate Yeye nikasema haiwezekani ikabidi aniache👉🏿 Nashukuru Baada ya Kufika Madhabahu hii ya Moto wa Yesu Nikafundishwa Masomo Yaliyonifungua Mpaka nikajua mwanamke niliyeandaliwa Kuoa yukoje ndiye Huyu nimekuja kumpa verosa Mwanamke...