Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Februari 22, 2022

SOMO; UKOMBOZI WA WAWAKATI

SOMO; UKOMBOZI WA MAJIRA NA WAKATI KUTOKA;16;8-13,40;37-38 Yoshua;14;10-11 Waefeso;5;15-16 Muhubiri;12;1-5 MAJIRA NI Kipindi unachokipitia Unapaswa ukomboe Kipindi hicho ukivuke Salama. KATIKA MAISHA HUWA TUNAKOMBOA VIPINDI 4 Karibu unifatilie kwa umakini Ukombozi wa Wakati. 1: UKOMBOZI WA ELIMU. Huu Ni Ukombozi unaolenga Elimu Dunia na Elimu darasani Maisha Yanaitaji Elimu kila paitwapo Leo. MATOKEO YA KUKOMBOA ELIMU 1:Utakuwa na Elimu juu kile ulichojifunza 2;Utaongeza maarifa na Ufahamu 3;Utakabiliana na Changamoto Mbalimbali. 2; UKOMBOZI WA UCHUMI. Hii huhitaji Ukombozi wa Uchumi na vyazo vyake. Kuhakikisha kiuchumi unasimama vizuri. MATOKEO YA UKOMBOZI WA UCHUMI 1;Utamiliki Uchumi na kuutawala 2;Utatumia muda wako vizuri kutafuta Uchumi 3:Utasimama imara kiuchumi 3: UKOMBOZI WA KIROHO Huu Ni Ukombozi wa Kiroho na mwili Kutembea Katika misingi mizuri ya Mungu MATOKEO YA UKOMBOZI WA KIROHO 1;Utamjua Zaidi Mungu 2:Utakaa katika Mapenzi ya Mungu 3;Imani itakuw...