SOMO:MAOMBI YA KUWEKA ALAMA KWA MUNGU
SOMO; MAOMBI YA KUWEKA ALAMA KWA MUNGU NAYE KUMWAMBIA AWEKE ALAMA KWAKO. :::::::::::........';;,,;;,,,,,,,,,,,,::::::.........::::::::::' Huwa Ipo nguvu Unapoona Umeomba Sana Kitu Hakijawa au Umefunga Sana Hujajibiwa ingia Maombi Ya Kuweka Alama Kwa Mungu Kuweka Makubaliano naye Kama Ezekiel; Soma Isaya:38 habari ya Hezekieli. Kama Unaweka Alama Weka Alama Kubwa itakayoponya roho zilizopotea MFANO:Una kiwaja unaweza toa hata robo kwa ajili ya Bwana Kanisa likasimama roho zikaokolewa au Nunua Mziki Kanisani. Mambo haya Mawili Yanahubiri Na Kuweka Alama Kubwa kwenye Moyo wa Bwana ila Kama uwezo upo chini huna kiwaja unaangalia nilichoelekeza hapa chini. Kisha usiweke fikira au kuhesabu Ili ufanye Alama yako ilete matokeo kuliko uweke unaanza kunug,unika au kulaumu nisingetoa hiki Kwa Mungu kisa kachelewa ukiamua kuweka Alama Weka Huku ukijua unamuwekea Mungu iwe kama Sababu mimi nimeweka Alama hii nawewe weka Alama hii kwangu. Tunasimamia Vitabu hivi: TAF...