MAJUKUMU YA MWANAMME NDANI YA NDOA
🌍🌍MAJUKUMU YA MWANAMKE NDANI YA NDOA ANAPOINGIA KWENYE NDOA✔️✔️ ZINGATIA NA UFANYIE MAZOEZI MWANANDOA Wanandoa Tuongee+18 Leo Topic Mwanamke Jinsi Ya Kusimamia Majukumu yake Anapoigia Kwenye Ndoa Wanandoa Wengi Wakike Wamekuwa Wakijisahau Wajibu Wao na Majukumu Ya Kibiblia Mwisho Wa Siku Kufanya Ndoa Nyigi Zifarakane nakuvunjika. Karibu Naitwa Mwalimu Wa Wanandoa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa 1:UTIIFU KWA MMEO (1Petro:3:1,Waefeso:5:22) Mwanamke Ukiwa ndani ya ndoa Utakiwa Uoneshe Utiifu Kwa Mmeo Hupaswi Uvunje Agizo hili uinue mabega Umdharau Mmeo na Kuaza Kumbishia Na Kumpiga Kwa Maneno Au Kumfokea Onesha Adabu Kwa Mmeo Onesha Maadili mema Na Umsikilize Mmeo. Huu ndio Wajibu wako kwenye ndoa. 2:KUTUNZA SIRI NA MADHAIFU YA MMEO(Yohana:17:16) Mwanamke Jukumu Lako la Pili Kwa Mmeo Mtunzie Siri Mmeo mhifadhie Madhaifu Yake Usitoe Nje au Kwa ndugu zako au Rafiki zako Siri za Mmeo au Madhaifu Yake. Wanawake wengi wanaotoa nje Siri ...