Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Mei 1, 2020

SOMO:UMRI SAHIHI WA KUOA

SOMO; HATUA ZA UMRI KATIKA MAHUSIANO YA WANAWAKE NA WANAUME KATIKA KUFANYA MAAMUZI YA KUOA/KUOLEWA. ✍️✍️TAZAMA UMRI WAKO Hapa UNAMAAMUZI YAPI UJUE TATIZO UMRI TU. Tufunue Biblia Zetu Hizi. Matendo:4;22✍️Matendo:7;23✍️LUKA;2;42✍️Mwanzo.17;24 ✍️✍️UTANGULIZI✍️✍️ Umri na kuagalia muda Ni mhimu Sana Umri huongea Sawasawa na wakati ulio nao. Wengi wamekosea Katika maisha Kwa kutokuzingatia muda na Umri wao. Leo hii fomula ya maisha imeharibika kwakuwa walikosea KUFANYA MAAMUZI sahihi katika muda sahihi. MWANAUME ndio huoa na mwanamke huolewa lakini katika Wawili Hawa wanapishana Kwenye kujitambua  umri wa mwanaume Kuoa na Kutafuta maisha na Umri wa mwanamke Kuolewa Akajenga ndoa Bora KARIBU KATIKA DARASA LA WANANDOA ✍️✍️MWALIMU WA WANANDO Pastor Richard ✍️✍️Nipo Morogoro Veta Dakawa ✍️✍...