Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Agosti 8, 2022

JINSI Ya Kutoa fungu la kumi madhabahu ya moto wa Yesu

SOMO;JINSI YA  KUTOA  FUNGU LA KUMI KWA UAMINIFU.[ KANISA LA HOLY SPIRIT MINISTRY TANZANIA.(K.H.M.S.T) Naitwa Bishop Richard  Naishi Morogoro Nchini Tanzania 🇹🇿 Africa 🌍  Karibu katika ufafanuzi na elimu ya nguvu ya fungu la kumi. Kumb la Torati.14;22 ,28:1-24 Luka.18;12 Malaki;3;10 1 Samweli 8:17 [17]Atawatoza fungu la kumi la makundi yenu; nanyi mtakuwa watumwa wake. Linalenga kwa watoto wa Madhabahu Ya Moto Wa Yesu wanaotuma mafungu yao au Zaka zao Kumbukumbu la Torati 28:2 [2]na baraka hizi zote zitakujilia na kukupata usikiapo sauti ya BWANA, Mungu wako. Hapa natoa maelekezo tu jinsi ilivyo muhimu kujua  Faida na Hasara Za Kutoa Zaka Kwa Uaminifu wa Bila Kurukaruka FAIDA ZA MTU ANAYETOA FUNGU LA KUMI KWA UAMINIFU KILA MWEZI 1-LAZIMA AJIBIWE MAOMBI YAKE NA AONE MABADILIKO 2-LAZIMA KILA OMBI LAKE LIAGUSHE UTAWALA WOTE WA FALME ZA NGIZA 3-KILA KAZI ATAKAYOFANYA ITASITAWI 4.ATAFANYA KITU KINDOGO KITAMPA FAIDA KUBWA. 5-HATADHULUMIWA, HATAPOTEZA VITU,HATAACHIS...